Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa
mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa
mtu aliyekuacha..
Kila anayeingia maishani
mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every
topic anayokufundisha ichukulie serious
huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye
Topic ipi..
Usipojifunza lolote kutoka kwenye
Relationships ulizopitia utaendelea kufeli
daima.
Usijali kuhusu listi ya Wanaume au
Wanawake wangapi wametia Signature kwenye
moyo wako, ila nini umejifunza kwao,
The List
doesnt matter....
Usione Waumini 100
wamesimama kwenda kutoa Sadaka Mchungaji
ukachekelea bingo,wanaweza kuweka jero jero
tu,ila wanaweza kusimama Waumini 10 tu
matajiri wakatoa Laki-Laki na kapu
likajaa...
Numbers doesnt count when it comes
to Love, kuwa na listi lakini ikufunze!
Ukiogopa kuumia kwenye Mapenzi hutajifunza
kitu lini sasa.