Tigga Mumba JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 746 Reaction score 474 Oct 17, 2012 #1 Nimekutana na hii kitu masaki.... Hiyo dola 3000 duh!! Attachments 20121017_105935.jpg 723.3 KB · Views: 323
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Oct 17, 2012 #2 Mbona bango lenyewe ni takataka pia? Ila haya mambo ya $ kwa sasa too much!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Oct 17, 2012 #3 sijui mlevi gani kaamka na njaa baada ya kunywa pombe za kienyeji sasa anatafuta hela za bure pambaf.
sijui mlevi gani kaamka na njaa baada ya kunywa pombe za kienyeji sasa anatafuta hela za bure pambaf.
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Oct 17, 2012 #4 Freekick 100$
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Oct 17, 2012 #5 Lakini ujumbe umefika
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 247 Oct 17, 2012 #6 haka katangazo hata hakana thamani ya dola moja..! halafu kana mtahadharisha mtu kuhusu penalt ya dola 3000...!? huu ndio upuuzi wa kutokua na uelewa..!!!
haka katangazo hata hakana thamani ya dola moja..! halafu kana mtahadharisha mtu kuhusu penalt ya dola 3000...!? huu ndio upuuzi wa kutokua na uelewa..!!!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Oct 19, 2012 #7 Kwa sheria za nchi gani? Manake sheria inastipulate minimum na maximum fine, na fine ya kwa mtogole haipashwi kutofautiana na ya masaki.
Kwa sheria za nchi gani? Manake sheria inastipulate minimum na maximum fine, na fine ya kwa mtogole haipashwi kutofautiana na ya masaki.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 19, 2012 #8 ni kweli wwanze kulichaji bango lenyewe au aliyelibandika
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,374 Reaction score 99,146 Oct 19, 2012 #9 Huko wanakaa wazungu sana kwanin asingeandika na kwa kizungu? mafuku na penaty ndio nin?