Usitupe, nipe mimi

Joined
Sep 20, 2017
Posts
9
Reaction score
7
Kama unachochote au hata kwa jirani au rafiki usije ukakiona kidogo au kibaya kunawengine wana kitafuta hicho
Hivyo tualifu na tutakifuata ili tuchanganye na vya wengine, kisha tutatangaza siku ya kupeleka tuta jumuika wote..

Mungu akutangulie kwenye kutafakari hili.
 
kwann niwapatie nyie mpeleke? mimi naomba maelekezo ya kupeleka mwenyewe!! ni PM tafadhali ikiwezekana na mawasiliano ya simu pia...............Asantee
 
 
kwann niwapatie nyie mpeleke? mimi naomba maelekezo ya kupeleka mwenyewe!! ni PM tafadhali ikiwezekana na mawasiliano ya simu pia...............Asantee
Wengi wanavitu vichache hivyo kupeleka wanaona havitoshi, sisi sisi tumejitolea kuvikusanya Kwa mmoja mmoja km nishati ,akweti halafu tunazifikisha kwao

Kwenye tangazo namba zipo
0789482438
 
Kwahio avatar yako nme kosa imani yasije kua ya kagera
 
vyuma vimekaza kiasi kwamba hii siredi imekosa wasamalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…