MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,602
- 42,587
Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee.
Kumbuka kabla ya kukuomba msaada watu walikuwa wanaishi maisha yao. Kwahiyo hata usiposaidia watapata jinsi ya kujinasua. Epuka kuwekewa alama kama mtoa misaada. Ukifilisika watakuhama na kutafuta mhanga mwingine. Watasahau kila kitu ulichowasaidia na wengine watakucheka na kukuona mpuuzi.
Hata ukiwa kanisani usibabaike na mchungaji anavyosema "toeni ili madirisha ya mbinguni yafunguliwe baraka kwenu"... pale church wanakuwekea na vijana wazuri kukuimbia nyimbo tamu ili utoe hiyo hela. Tafadhali chukua tahadhari.
Linda uchumi wako kwa wivu mkubwa.
Sawa nitazingatia ushauri wako!Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee.
Kumbuka kabla ya kukuomba msaada watu walikuwa wanaishi maisha yao. Kwahiyo hata usiposaidia watapata jinsi ya kujinasua. Epuka kuwekewa alama kama mtoa misaada. Ukifilisika watakuhama na kutafuta mhanga mwingine. Watasahau kila kitu ulichowasaidia na wengine watakucheka na kukuona mpuuzi.
Hata ukiwa kanisani usibabaike na mchungaji anavyosema "toeni ili madirisha ya mbinguni yafunguliwe baraka kwenu"... pale church wanakuwekea na vijana wazuri kukuimbia nyimbo tamu ili utoe hiyo hela. Tafadhali chukua tahadhari.
Linda uchumi wako kwa wivu mkubwa.
Asikilizwe ana Hoja.Kwa kiasi fulani una Hoja yenye mashiko.
Sawa, wema usizidi uwezo!"Wema usizidi kiasi"
Roho mbaya??Roho mbaya
DahππHuu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee.
Kumbuka kabla ya kukuomba msaada watu walikuwa wanaishi maisha yao. Kwahiyo hata usiposaidia watapata jinsi ya kujinasua. Epuka kuwekewa alama kama mtoa misaada. Ukifilisika watakuhama na kutafuta mhanga mwingine. Watasahau kila kitu ulichowasaidia na wengine watakucheka na kukuona mpuuzi.
Hata ukiwa kanisani usibabaike na mchungaji anavyosema "toeni ili madirisha ya mbinguni yafunguliwe baraka kwenu"... pale church wanakuwekea na vijana wazuri kukuimbia nyimbo tamu ili utoe hiyo hela. Tafadhali chukua tahadhari.
Linda uchumi wako kwa wivu mkubwa.
Ni kweli kabisa.unaweza kusingiziwa umempa mimba.Kwa kiasi fulani fulani una Hoja yenye mashiko.
Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba Wamiliki wa vyombo vya usafiri binafsi hasa waliopo kwenye miji mikubwa Kama vile Dsm, Mwanza, Arusha, n.k, wasipendelee kuwapa lifti hovyo hovyo Wanafunzi wa Shule kwenye magari yao. Hata kama kuna ugumu wa usafiri au kuna foleni kubwa sana ya magari kwenye usafiri wa umma, usipendelee kabisa kuwasaidia Wanafunzi kwa Kuwapa lifti na kuwapakia kwenye gari yako. Siku moja huo wema wako unaweza kuja kukugharimu vibaya sana.
Take care!
Tunaendeshwa na hisia sana. Hisia mchanganyiko, kuna muda unajikuta hisia zinapigana bakora kinoma huko kichwani, yaani kuna muda unaona kabisa mambo yanavurugana kichwani π.Binadamu tupo tofauti sana mara unakuta huyu anawaza vile huyu anawaza hivi inakuwa kama ni mashindano π