Mahari ni kununua mtu , hivi hii definition imeandikwa wapi?Kwema Wakuu!
Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutoa kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu.
Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu.
Kamwe Usitoe mahari.
Mahari ni kununua binadamu ambaye ni mnyama. Mtu kamwe hanunuliwi.
Usiokote vifungu binti kuhalarisha uuzwaji wa binadamu.Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoleta, hata iwe kubwa kiasi gani nitawalipa chochote mtakachonidai.
Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.
Mahali ❌Ukute jamaa ana andika hapa uku ana weka buku kwenye kibubu cha mahali
Kifupi ulofa ndio unakusumbua tafuta Hela weweKwema Wakuu!
Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutoa kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu.
Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu.
Kamwe Usitoe mahari.
Mahari ni kununua binadamu ambaye ni mnyama. Mtu kamwe hanunuliwi.
Ongeza hapo na ni attention seeker,baba'ake mwenyewe mkewe ambaye ni mama yake hakupewa bure lakini leo kinda lake linalia lia hapa habari za mahari.
Ujinga mtupu.
Kifupi ulofa ndio unakusumbua tafuta Hela wewe
Hizi lugha za kimaskini zitaondoka kinywani mwako.
Umaskini ndio unafanya mtu kuwa na vimisimamo vya ajabu kama vyako
Hili andiko lako linaonyesha wazi wewe lofa shilingi inakupiga chenga sana
Huyu Mpare skija kwetu usukumani hapati mkeHuwezi na hautokaa kamwee kuelewa maana ya Mahari .
Kwa sababu Bichwa lako umelijaza ushetani .
Siku hizi wanaume Mnaopumuliwa mko mbele kabisa kupinga Ndoa.
Ww Kwa akili zako hio 2 M inatosha kumnunua mtu!?Tutawatoa gizani tuu kama sio ninyi basi watoto wenu.
Kama mlikubali kutoka gizani kwa baadhi ya ishu hata hili pia mtatoka tuu.
Kwa hiyo kama Babaako alikuwa mtumwa au mama yako alikuwa mtumwa au alikeketwa na binti yako ndio utamkeketa?
Kwa hiyo kwa akili yako ukitoa milioni 2 kununua Mwanamke ndio kuwa na pesa? Au ndio ujanja?
Kuna Watu akili zenu zimepitwa na wakati walahi
Kwema Wakuu!
Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutoa kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu.
Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu.
Kamwe Usitoe mahari.
Mahari ni kununua binadamu ambaye ni mnyama. Mtu kamwe hanunuliwi.
Unatetea utu wa wanawake lakini wanawake wenyewe watakupingaKwema Wakuu!
Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutoa kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu.
Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu.
Kamwe Usitoe mahari.
Mahari ni kununua binadamu ambaye ni mnyama. Mtu kamwe hanunuliwi.
Unatetea utu wa wanawake lakini wanawake wenyewe watakupinga
Mahari io watu wanafanya kama biashara hasa hasa makabila ya kanda ya ziwa kama wajita na wasukuma unakuta binti mmoja analipiwa mahari na wanaume zaidi ya wanne na familia inapokea tu binti anaenda anaolewa miezi mitatu anafanya fujo anaachika kisha anaolewa kwingineko.
Ww Kwa akili zako hio 2 M inatosha kumnunua mtu!?
Mahari haitolewi Kwa dhana ya kumnunua MTU.
Nafikiri unahitaji kusaidiwa uelewa juu ya mahari.
Dada unaelewa maana ya neno "msichana " kama lilivyotumika hapo kwenye maandiko maana kwa ulimwengu wa sasa hakuna wasichana ukae ukijua?Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoleta, hata iwe kubwa kiasi gani nitawalipa chochote mtakachonidai.
Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.
Quran nayo imeandikwa?Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoleta, hata iwe kubwa kiasi gani nitawalipa chochote mtakachonidai.
Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.
Huyu Mpare skija kwetu usukumani hapati mke