Hakika wanena vyema mkuuMkuu ingawa bet na kamari nyinginezo zinafirisi, lakini kuna watu pia wanapata.kwahiyo haishangazi wachache kama wewe kupatikana kwenye kundi kubwa. Hata hivyo kumsomesha mwanamke ni kamari mbaya
Mbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Mtoto mali yako sawa lakin utakuwa umelizwa hela za kusomesha chuoacha azae si mtoto mali yangu
Hujui baadhi ya watu siku hizi wanaishi kwa nadharia na tafiti za onlineMbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
ngoja ninyoke kwenye maada moja kwa moja
Hakuna kitu kibaya kama kusomesha mchumba usifanye kabisa hiki kitu ndugu yangu, acha kabisa utakuja kulia na kusaga meno
Bora usomeshe hata jiran yako lakin siyo mchumba utajuta mkuu usijaribu ni hatar zaid ya kumeza bomu
Watu wengi washasomesha wachumba wao na baada ya wachumba wao kupata kaz huwaacha kwa kejel na matus juu
Hakuna hata mmoja ambaye asha somesha mchumba na akabak salama, mwisho wa siku hujutia na kulia kama mbwa
Wengi wanaotendwa na wachumba waliowasomesha HUJIUA NA KUWA WALEVI WA KUTUPWA
usijaribu hicho kitu
Kusomesha mchumba ni sawa na kunyea kwenye fugo
NANYUPU
LIYANDA LA MWANZA
LONDON BABY
Kuna mwenzenu juz kajinyonga hukuVijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Mke akipata kazi nzuri utabaki salama? Nani kakwambia?Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,
vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.
Unataka chukua hutaki acha
Itapendeza