Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Unawatafutia dadazako promo? Hatudanganyiki

Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
 

Mambo ya chuki yasiyo na sababu za maana. Kati ya hao 21 hakuna anayefaa?
Kwanza wewe kabila gani? Au ndio wale wasiothamini elimu? kweli hapo dada wa kinyakyusa atakuona huna maana.
 
Hivi hao wanaowakosoa watu kwa makabila Yao...je upande wa makabila Yao WAMEKAMILIKA KITABIA?.....
Viumbe mbona wazito?, HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU, sisi wote tuna mapungufu yetu, TUVUMILIANE TU. KUKASHFIANA HAKUFAI. Kumbuka unayemkashfu leo ipo siku ATAKUFANYIA CHECKUP YA PUMBU/MBOO au ---- yako ukiwa HOSPITAL unaumwa, tena atakufanyia ukiwa unamwangalia huku umejawa na aibu.
TUSIPENDE KUKASHFIANA BALI TUHESHIMIANE KWA KASORO ZETU...JARIBU KUNYOOSHA KIDOLE KWA MWENYE MAPUNGUFU HALAFU UONE WINGI WA VIDOLE UPANDE WAKO....
 
>mke wangu ni mnyakyusa najuta kweli;
*kitandani hovyo
*ulevi
*rough
*un~neat
*openly prostitute
>seriously I hate this tribe only children unite us

Nilikuwa na mke mnyakyusa lakini tulisha part Long fkng... mlevi mbwa, mwizi, mwongo, Dharau, malaya, mgomvi, mbishi nk... story ndefu sana.
 

Wewe utakuwa mnyakyusa tu.Hamna lolote zaidi ya kugawa papuchi.wewe mwenyewe njoo nikupe ajira hata ya kutoa mbwa asubuhi na jioni ofisi ipo maeneo ya kaanyagwa,uje usikose.
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Mi namkumbuka laazizi wangu Twimibate huko Tanga wautesa moyo wangu ujue.
 

That's harst generalization mkuu!! You are very wrong maana kwanza tabia za makabila zinapotea coz mwingiliano ni mkubwa!!! Halaf inawezekana wote uliokutana nao ni THIRD CLASS ndo maana wana character za aina moja!!! HALAF UNASEMA UMEWALA 21,mpaka kufikisha idadi hiyo ulitaka kufanya uvumbuzi gani mkuu???????????
 
Mie Mndali, jina linajieleza. Wanyakyusa wa Kyela ndio tabu sana, Tukuyu huko wanyenyekevu hadi utaona aibu. Washika dini sana na kama umekutana na gumegume wewe utakuwa mwenye bahati mbaya sana yaana katika gunia la dhahabu umeokota jiwe?

uko sahihi kabisa mkuu!....wa kyela wamedata ni noumaa!
 

Ndio hadithi za Abunowasi hizi mkuu. Eti kawala 21. Mpaka wanafika idadi hiyo yeye bado anao tu pamoja na kosoro zote hizo. Tatizo kuna watu wana inferiority complex na huyo jamaa ni mmoja wao. Tumpuuze tu.
 

acha kusingizia kina manka wewe mi nawajua wengi wanapenda kujiuza na ukorofi na ubabe
 
Nilikuwa na mke mnyakyusa lakini tulisha part Long fkng... mlevi mbwa, mwizi, mwongo, Dharau, malaya, mgomvi, mbishi nk... story ndefu sana.

Mwanamke wa kinyakyusa hawezi kuwa na -------- kama wewe. Lazima akutose tu.
 
heee wengine meoa huko jaribuni kuheshimu wakwe zetu! love u my wife from kk tukuyu

Umenikumbusha mkuu, nilisoma Rungwe sec tulikuwa tunatembea kwa miguu mpk sogea then kk tukitoroka tunaenda kucheza Mpira kk kuna shule inaitwa salemu wanauwanja mzuri sana
 
Umenikumbusha mkuu, nilisoma Rungwe sec tulikuwa tunatembea kwa miguu mpk sogea then kk tukitoroka tunaenda kucheza Mpira kk kuna shule inaitwa salemu wanauwanja mzuri sana

Ulisoma rungwe miaka ipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…