Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Mkuu pole.vipi na watoto hajakimbia nao?? wana heshima za kinafiki.

Aliwachukua, kisha akawatelekeza no shule no nothing, nikawachukua tena nikawapeleka shule wakaanza kuhudhuria regularly, akaja tena akawatorosha, sasa sina mpango na yeye wala watoto 'wake', to hell with her.
 
Mambo ya chuki yasiyo na sababu za maana. Kati ya hao 21 hakuna anayefaa?
Kwanza wewe kabila gani? Au ndio wale wasiothamini elimu? kweli hapo dada wa kinyakyusa atakuona huna maana.


suala la elimu linakujaje hapa, usipanic mama
 
Hapa nakuunga hoja moja tu %50 wengi wao kweli ni wanafki nimeishi nao sana siyo wanaume wala wanawake....wanamajungu kweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…