Usithubutu kujilinganisha na watu wengine, hili jambo huwa linawacost wengi sana.
-
Asikwambie mtu maisha ya watu wengi sivyo kama uyaonavyo, huenda wewe ukawa na uafadhali kuliko hao unaowatamani, sikuhizi watu wanaekti saana!
Sasa hata tukija kwenye suala la mahusiano, hali ni ile ile tu labda watu wanatofautiana uafadhali tu lakini mauza-uza yapo kila sehemu,
My friend jifunze kujikubali na kuikubali hali yako.
Jiulize kama wewe unatamani kuwa kama fulani, Je nani atatamani kuwa kama wewe?
Ikiwa wewe mwenyewe unajisaliti na kujikana, nani atakayeiona thamani yako?
Many words to say but I hope it make sense. Thank you.