Usithubutu kucheza na ndege, huyu kafungwa kifungo cha maisha kwa kuchezea bombadier

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Birju Kishor Salla wa India amefungwa kifungo cha maisha jela na faini ya Tsh. Bilioni 1 kwa kosa la kuilazimu Ndege ya Jet Airways kutua kwa dharura baada ya kuacha ujumbe chooni uliokuwa ukidai kuwa ndani ya Ndege hiyo kuna mabomu na Watekaji nyara kitu ambacho hakikuwa kweli.
FB_IMG_1560455413597.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom