Katika kitu mnafeli wauza AC ni pamoja na kushindwa kuelezea utumiaji umeme wa AC yaani unauza kitu ambacho mteja anahitaji ila mashaka yake yapo kwenye consumption ya umeme.
Kwann msitest AC zenu zote halafu mje na clear report ya kila AC kwa matumizi maximum inatumia umeme kiwango gani ili mtu akifunga anajua anatumiaje.
Watz wengi tunajua AC zinakula umeme sana yaani kwa siku ikiwashwa full inakula unit 30 hicho ndicho tunahisi. Hebu fanyeni kutoa elimu.

Kuna muuzaji na mtu anayehusika na mambo ya technical
Mimi nauza vitu vingi sasa ufanye kila kitu na watu wengine wafanye nini
Jifunze specialization na division of labour
Mfano muuza fridge au tv hawezi jua technical aspect za hivyo vitu au muuza magari ukitakujua mambo ya technical aspect atakuunganisha na fundi
Na mwisho wa siku wewe sio mteja ndo maana unafanya dhihaka usiishie kumuota huyo mmoja ita na wengine wengi