Now and then JF-Expert Member Joined Dec 19, 2024 Posts 613 Reaction score 1,726 Mar 26, 2025 #1 Wakuu, ili kujizuia na fitina na ulozi Usithubutu kutangaza kuwa unagombea ubunge , kuna jamaa yangu wameshamtoa mchezoni huko CCM.
Wakuu, ili kujizuia na fitina na ulozi Usithubutu kutangaza kuwa unagombea ubunge , kuna jamaa yangu wameshamtoa mchezoni huko CCM.
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,590 Reaction score 3,530 Mar 26, 2025 #2 Mungu niguse said: Wakuu , ili kujizuia na fitina na ulozi usitangaze kugombea ubunge mapema. Click to expand... Hata hivyo tunamshukuru sana mama kwa ushindi wa Morocco dhidi ya Taifa stars. Hakika amethubutu na ameweza. m5 tena
Mungu niguse said: Wakuu , ili kujizuia na fitina na ulozi usitangaze kugombea ubunge mapema. Click to expand... Hata hivyo tunamshukuru sana mama kwa ushindi wa Morocco dhidi ya Taifa stars. Hakika amethubutu na ameweza. m5 tena