Usisubiri Kuambiwa

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
54,297
Reaction score
80,145
Ulikuwa na Mpenzi wako Ambaye Maneno na Vitendo vyake dhidi yako ili kuwa ni sababu ya kukufanya Uamini kuwa Ana kupenda sana "

Ila baada ya safari ya muda mrefu/kiasi ya mapenzi yenu Ghafla unaanza kuona mabadiliko ya ghafla toka kwa mpenzi wako

Hakutafuti tena kama ilivyo kuwa zamani " yeye si wakukupigia simu tena na kukujulia hata hali " ..sio wakukuuliza tena kuhusu mipango yenu ya maisha etc

My dear brothers and sisters ...shtuka " Hauhitaji kuambiwa " kwamba sikuahitaji Tena .....Yakupasa Ujiongeze tu otherwise utajiaibisha



Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa umeamini alikuwa hakupendi au vipi,umemuuliza umekaa nae ukamuuliza tatizo au mmechokana tu
 
Ikishatokea hivyo inabidi kukubaliana na hali na kujipanga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…