Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
π π€£π€£π€£π€£π€£Ni staafu kufanyaje jamni...
Mbona mnatuchanganya kwa hii kazi yangu ya saidia fundi kuna kustaafu kwani
Unaweza kustaafu kuna NSSSFNi staafu kufanyaje jamni...
Mbona mnatuchanganya kwa hii kazi yangu ya saidia fundi kuna kustaafu kwani
Daaah watu mliopo kwa system mna raha sana wadauUnaweza kustaafu kuna NSSSF
Baada ya kustaafu nikaajiriwa tena, mshahara mkubwa zaidi ya ule wa serikali ya mapinduzi. Biashara ya nini mkulungwa?Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)
Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.
Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari
Uh?Baada ya kustaafu nikaajiriwa tena, mshahara mkubwa zaidi ya ule wa serikali ya mapinduzi. Biashara ya nini mkulungwa?
Haaha.....kweli aisee. Mtu anasubiri astafu ndio afungue Bar, Grocery au afuge kuku.Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)
Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.
Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari
Umeona eh?Haaha.....kweli aisee. Mtu anasubiri astafu ndio afungue Bar, Grocery au afuge kuku.
Kwanini kama alijua atafanya biashara asingeanza mapema hata kwa mtaji kidogo kidogo?
Mapenzi yafutwe wapi?Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)
Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.
Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari