Usisaliti msosi, ndo rafiki wa kweli

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,492
Reaction score
1,466
Kuna siku nliambiwa nimtaje rafiki yangu alaf atapigiwa simu nayye akinitaja me napewa 10000 nikamtaja aseee tena ni mtu nimekaa naye room moja kabisa na tunawasiliana kila siku alipoulizwa hakunitaja, akaambiwa ataje watano bado sikwepo
Tangu siku hyo nikaanza kupenda misosi maana rafiki wa kweli ni njaa haiwezi pita siku bila kunikumbuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…