Ulichoanndika kina ukweli mkubwa Ila kwa imani zetu za kiafrika huwa hakitamkwi, kwa sababu ya Sera zetu za kijamaa, za kubebana Ila kwa nchi zilizoendelea ambazo Zina Sera za kibepari hususani Marekani uliyoyaandika yote Ni kweli hata Kama hutaambiwa. Niliishi San Diego Marekani, Iknow how what's written does exist,
Ila tunapoelekea kiuchumi hata bila kutamkwa tutakubaliana tu kuwa ulichoandika Ni sahihi kwakuwa maandiko huwa hayapotezi maana. Na pia Ni wazi tajiri humdharau maskini.
Na pia tukumbuke tunaweza kuukataa ukweli Ila hatuwezi kukataa athari za ukweli. keep on mind.
Mada yako Ina ukweli maskini wengi Wana roho mbaya ya chuki, wachawi wao, wasengenyaji wao, walipa visasi, hata jehanamu watakuwa wengi, naichukia umaskini ngoja nifanye kazi kwa bidii umaskini ni laana mbaya
Sawa babu
we tuache sisi masikini
sisi hatujui na hatujawahi kusikia kitu kinaitwa ugonjwa wa moyo, ugonjwa wa kisukari, saratani, upungufu wa nguvu za kiume, hatuzai kwa sindano wala mkasi, tunadunda tu
Sawa babu
we tuache sisi masikini
sisi hatujui na hatujawahi kusikia kitu kinaitwa ugonjwa wa moyo, ugonjwa wa kisukari, saratani, upungufu wa nguvu za kiume, hatuzai kwa sindano wala mkasi, tunadunda tu
hahaha masikini wanavyojifariji unadhani hata mwenye pesa hawezi kujijali afya yake ...kila kitu ni maamuzi tu...hata maskini ukijifanya maskini jeuri kua haujijali afya yako sababu wewe ni maskini ...utakwenda na maji tutazika na kusahau