Sio kila aliye maskini akipata ukwasi anakuwa katili na tabia za kishetani,
Wazungu wale wa mgodini nyamongo,walikuwa na umaskini gani,mbona waliua watu wengi kwa sumu?
Unaweza kuzaliwa Ikulu,na ukawa mshenzi,katili,kasome historia ya watoto wa Ghadafi,walikuwa wanaogopwa Kama ukoma,
Vipi kuhusu Prince aliyeamrisha mwandishi Jamar khashogi auwawe,alikuwa na umaskini gani,mbona kazaliwa Ikulu,
Umaskini sio sababu pekee ya kumfanya mtu awe na tabia za kishenzi