Usisahau ya kutolea

Mimi nabisha. Hakuna mpenzi anayesema tuma na ya kutolea labda Kama ni mke na unatuma pesa kwaajili ya kitu Fulani. Kama ni pesa tu umepewa huwezi sema tuma na ya kutoa.
Kwa hiyo unamaanisha huyu wa mleta mada atakuwa wale wale
 
Teh achana na hawa boys boys kero tupu
 
Naona jembe limekubali kinoma.tatizo lako unakaza jembe ndo maana unaumia.
Ila usijali ukishavuna utasahau machungu yote.
 
Naona jembe limekubali kinoma.tatizo lako unakaza jembe ndo maana unaumia.
Ila usijali ukishavuna utasahau machungu yote.
Hilo sio jembe, hapo ni kutindua zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…