jitwangabalogi JF-Expert Member Aug 8, 2018 333 394 Nov 30, 2023 #1 Ninakukumbusha tu jamaa yangu, najua unakumbuka yote haya, sina uhakika kama utahitaji maelezo yaliyojitosheleza. Unayajua Fika! Usisahau ulipotoka, safari ni ndefu na huu ni mwanzo tu. Ishi, timiza kilicho moyoni mwako, usisahau yaliyowaangamiza uliowasinitch Mwisho mwema, jitahid, omba, timiliza, hakuna Mpaka Kati yetu(tunajuana) *Amani ya bwana Mungu wako, omba Sana iwe pamoja nawe
Ninakukumbusha tu jamaa yangu, najua unakumbuka yote haya, sina uhakika kama utahitaji maelezo yaliyojitosheleza. Unayajua Fika! Usisahau ulipotoka, safari ni ndefu na huu ni mwanzo tu. Ishi, timiza kilicho moyoni mwako, usisahau yaliyowaangamiza uliowasinitch Mwisho mwema, jitahid, omba, timiliza, hakuna Mpaka Kati yetu(tunajuana) *Amani ya bwana Mungu wako, omba Sana iwe pamoja nawe
Mundele Makusu JF-Expert Member Sep 28, 2021 885 1,310 Dec 1, 2023 #2 Asnte KWA ujumbe wako ....ila uzi wako kama umemlega mtu sio jamii