Usiruhusu kuendeshwa na mpenzi wako 2020

Usiruhusu kuendeshwa na mpenzi wako 2020

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,914
Reaction score
2,971
Habari Zenu Wakuu ??

Nimekuja kwenu nikiwa na jambo la kuzungumza nanyi , Rejea Maada Tajwa Hapo Juu , Mimi ni Kijana wa Miaka 28 .. Nimeleta maada hii kama funzo na somo kwetu sote, haswa nami nilikuwa mhanga ..


Vitu vifuatavyo ni lazima uviepuke katika mahusiano yako :-

1. Usikubali kuwa mtumwa na mnyenyekevu kwa mtu ambaye hajali .. yaani anakuona kwake hujiwezi, kila jambo afanyalo yeye huona liko sawa ila ukimkosoa tu basi patachimbika.

2.Usiwe muwazi sana kumweleza mpenzi wako mambo yako ...

Hayo ni machache ila yatakusaidia ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom