Usaliti kwenye ndoa imekuwa kitu cha kawaida mno, Wapo wengi mno wamepangishia vimada chumba, au nyumba nzima sasa hufikia penzi likanoga mpaka watu wakataliki wale zao au waume zao wa ndoa ili akaoe au akaolewe na nyumba ndogo, lakini bahati mbaya hukuta maumivu kwakuwa yule alikuwa ni mwizi na anajua kwa vyovyote ukiingia kwake hatakubali naye aibiwe...mara nyingi hutokea ugomvi na kutokuelewana mara kwa mara mifano ipo mingi sana lakini inatosha tu kusema iache nyumba ndogo ibaki kuwa nyumba ndogo kwakuwa Once a cheater always a cheater
Kuna nyumba ndogo nyiiingi zinahudumiwa na wapenzi zaidi ya wa3, utakuta kodi kalipa huyu, sofa kanunua yule, friji kanunua mwingine nk nk? nk na wote hamjuani
kwa hiyo kwa wale wanaoruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja anapooa wa kwanza and then anafuta nyumba ndogo na baadae anamuoa ina maana huyo mke wa pili nae anaingia kwenye "hilo li mfumo unalolielezea?"
na nani
aliyekuambia nyumba ndogo inahitaji ndoa? Eti kiranja wao Zahra White mnahitaji ndoa au mahela meeengi au kiduchu kujikimu kimaisha?
Teh teh teh.....
huo ni ubinafsi yaani anataka umpende kuliko hata nafsi yako! sio ujinga ni nini? kwanza duniani hakuna kitu kinaitwa mapenzi ya watu 2....kuna ndoa ya watu 2 ...wapi imeandikwa umpende mkeo au mumeo tu?....Tatizo hadi mtu anaoa nyumba ndogo ni wanawake tu. Unakuta ukirudi nyumbani kelele, fujo na mahubiri yasioisha. Mwanaume unakuwa na amani zaidi ukiwa kwenye foleni kuliko home. Kazini tabu, nyumbani tabu amani inakuja nikiwa mpweke. Mtu akipata wa kumfanya ajione anathamani kwa nini asitangaze ndoa.
Wanawake badilikeni, ile dhana ya kwamba mnatakiwa mpendwe nyinyi tuuuu, mridhishwe nyinyi tuu, mfikishwe kileleni nyinyi tuu, mlishwe nyinyi tuuu, muiache kabsaa. Kama nyumbani ni patamu kupindukia kwa nini wazo la nyumba ndogo linijie?
Tukimaliza mambo ya kishetani... apia kwa roho yako mwenyewe kama huna au hujawahi kuwa na nyumba ndogo au hujawahi kucheat kwenye mahusiano
Tatizo hadi mtu anaoa nyumba ndogo ni wanawake tu. Unakuta ukirudi nyumbani kelele, fujo na mahubiri yasioisha. Mwanaume unakuwa na amani zaidi ukiwa kwenye foleni kuliko home. Kazini tabu, nyumbani tabu amani inakuja nikiwa mpweke. Mtu akipata wa kumfanya ajione anathamani kwa nini asitangaze ndoa.
Wanawake badilikeni, ile dhana ya kwamba mnatakiwa mpendwe nyinyi tuuuu, mridhishwe nyinyi tuu, mfikishwe kileleni nyinyi tuu, mlishwe nyinyi tuuu, muiache kabsaa. Kama nyumbani ni patamu kupindukia kwa nini wazo la nyumba ndogo linijie?