Usipoolewa kuendesha hizi gari ni ndoto

Ha ha ha ha ha ha ha ha...te te te te
Kuna mtu lazima aguswe hapa...te te te

mbona kicheko kikali dada??? wake za watu ofisini wanaendesha magari makali. sababu si ya familia so wans ruhusu ya kuendesha anytime..

but mchepuko hawez endesha gari la mchepuko wake.. kwanza anaofia kukamatwa na mwenye mali mwenza, ndugu, jamaa na marafiki wa familia.. so atategemea kigari chake tu ambavyo mara nyingi ni jamii ya ist, passo, vitz..


nina uhakika hata mwanaume awe na pesa kama rugemalira hawezi kuonga mchepuko range au prado..

kwanza mchepuko ukiuonga vitz tu unapagawa na kukupa mpaka tigo ili unogewe maaana wanaume wahongaji hakuna siku hizi.. kila mtu mjanjaaaaa..

mzigo anakula but kuhonga honga kijinga hakuna
 
Una umwa na stress za kupigwa ban
Tunaochukua mikopo tunune vits tusipate shida ya dala mjini tunahongwa na mabenki foolish type:banghead::mad:

Kwakweli umemwambia ukweli. Na yeye je tumuulize kahongwa nini? Maana kama passo, vitz,swift ni rahisi kuhongwa yeye Supu ya Mawe anayo mangapi au dadazake? Mjinga kweli huyu bwana fikiri kabla ya kutupi thread hewani
 
user-offline.png
SUPU YA MAWE

Today 16:53
#4
Banned



































​Kwa thread za dizaini hii inaonesha ni kwa jinsi gani mtu thinking capacity yake ilivyo ndogo, alistahili ban kwakweli

Array


 
Teh kama kaukweli flani hivi

Maelezo yake yanaweza yasiwe sahihi sana ...lakini ukweli upo sana tu...
Mi nadhani ni sababu men love toys (cars)
mwanamke hata awe na pesa unaweza mkuta ana gari ambayo si ya status yake...

Ila wenye waume unakuta anasukuma mchuma wa maana sababu mnunuzi anajua test...(mwanaume)

kuna mdada namjua bosi na ana Passo...yeye kwake gari imtoe point a kwenda b...baaas
 
umepanic brother!!!
Na utachemsha sana hayo mawe, ila supu hutoinywa.
Kutimuliwa kwako na mchepuko ndo unatuletea mahasira yako hapa?? khaaa
 
Dont force women to buy 2014 rangerover..from their mens pocket and yet they dont have houses?do you know womens worth?where my ladies @?mkiipenda hii mijamaa ndo inaleta zalau...haya chuneni chuneni chuneni chuneni...
 
Jirani yangu ni mmama, hana mume ila anae anampunguza uraru libaba sijui la wapiii. Ana watoto wawili. Magari yake ni V8 na Navara sa sijui kahongwa au kajinunulia maana mmama anafanya kazi kwenye ofisi zile magari yana pleti namba za blue.
 
Jirani yangu ni mmama, hana mume ila anae anampunguza uraru libaba sijui la wapiii. Ana watoto wawili. Magari yake ni V8 na Navara sa sijui kahongwa au kajinunulia maana mmama anafanya kazi kwenye ofisi zile magari yana pleti namba za blue.

Alimhonga baada ya mgahawa wake supu ya mawe kuchanganya
 
Back
Top Bottom