Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

Kujifanya unasoma vitabu kwenye public car afu huku unasikiliza mziki masikioni
 
Mdada uko na highheels unayumbayumba... Umepiga kimini cha hatar ni shida barabaran huo ni utoto
 
Kupenga kamasi na mikono kisha ukajipangusia katika nguo zako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…