bora yangu mie cjui ww ambae unatamani harafu unagugumia na moyo kwakwakwa
Lilipost Li dada 1 hiv likawa linaponda eti. Mdogowake kaolewa Ye hawezi kuolewa kisa ma ant wanamshinikiza likatoa misababu kibao najua jiwe limetupwa kwake Afadhari mwenyewe nililichana likanifuata pm ,wadada acheni uzungu jitu lipo tandale linajifanya la UK shwain uzungu waachie wazungu we mjaluo dumisha mila zako shwain.
------ yakoooo , hivi hujui ukipost jf post yoyote ile na ukisoma kwa mda huo unakuta bado jf haijaarange fresh post kengele zako muda wa kuedit sna
kwa kwa kwa vaislay amenuna looo!!!!!best huo ni ujumbe ila ulizani ni wa mlengwa !akuu ndo maana ni mejibu ni ww labda but hata ww unakuhu.........
Lilipost Li dada 1 hiv likawa linaponda eti. Mdogowake kaolewa Ye hawezi kuolewa kisa ma ant wanamshinikiza likatoa misababu kibao najua jiwe limetupwa kwake Afadhari mwenyewe nililichana likanifuata pm ,wadada acheni uzungu jitu lipo tandale linajifanya la UK shwain uzungu waachie wazungu we mjaluo dumisha mila zako shwain.
Haujamfikia bado....msaidie kumcc
hahahaha pasuka naona roho yako inapururuka mwenyewe kwa kwa kwawe f.ala mi huwa sibishani na maka.haba sawa!!!!!! Umeandika uharo halafu unataka mods wa-edit...!!!!
Nimekuambia kajifunze kuandika....ukija siku ingine na post upangilie vizuri.....pu.mbavu wa mwisho kabisa..