LOOOOOOOO AKU BABU WEWE NGOJA LEO NISEME NENO HAAAA?
WASICHANA HUMU NDANI KUJIFANYA MNAPRETEND MAISHA YA KIZUNGU KAMA KUNYA HAMYI MARA OOOOOO cjui kikaenda kikarudi pambafu zaenu.
Mara ooo sitaki kuolewa mara ooomwanaume hakubabaishi muongo mkubwa wakati unatamani kuolewa,mapenzi yanakuliza kila kukicha ,unaingia humu ndani ooo msimamo wangu msimamo wangu haha hamna lolote ninyi mmevurugwa wanaume kila kukicha ni kuwatumia unatamai akwambie tuu ndoa ila mnashindwa mkiona upepo haujisom ooo sibabaishwi.
Hahaha mmm mwenyewe nilipo hapa natamai nana anioe japo umrri wang haujanitupa haa mara ooo usiolewe kisa furani kaolewa ,usiolewe kisa umri unaenda.
Usiolewe visa kibao looo hamna lolote mnatamani ndoa mnashindwa ,kwakwakwa msubiri sasa mtasugua magaga ,sura zitawaporomoka,na wa kuwaoa mda mnaotaka mkakosa.
Loo utaishia kuwa sugar mamy na ikumbukwe dushelele ni tamu sana looo,hii ni kwa wanawake/wasichana wenzangu,hata mtukane vipi habari ndo hiyo