Usipende sana!

Usipende sana!

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Kauli tajwa hapo juu imekuwa ikisikika sana. Pale watu watoapo ushauri kuhusu jinsi ya kudumu na umpendae utasikia wanakwambia usipende sana.
Najiuliza hii kauli huwa ina maana gani. Je ni kwamba uwe unampuuza mpenzi wako?
Tuelezane basi jinsi ya kutopenda sana.
 
Je ni kwamba uwe unampuuza mpenzi wako?
hapana

Tuelezane basi jinsi ya kutopenda sana.
Ni sawa na mtoto wanaposema usizidishe mapenzi haina maana umpuuze, la hasha - ina maanisha usimdekeze kiasi kwamba hata anapokesea, wewe mzazi humkanyi unamwacha tu. Kwahiyo kwenye mapenzi ni hivyo hivyo usipende sana ikafikia muda/wakati mpenzi wako hata anapokosea wewe unaona sawa, unatukanwa unaona sawa, unaletewa mwanaume/mwanamke mwenzio wewe unaona sawa tu
 
Siku zote kama jambo halijakukuta hutalielewa uzito au wepec wake,kwa tuliokutwa na matatizo kulielewa vizuri neno hilo ni rahisi mno!ila usipende sana!!!
 
Nimekuelewa sana, you are more than a teacher!
 
ni kama ukiumwa malaria unaambiwa uwe unakunywa maji mengi sana
 
Siku zote kama jambo halijakukuta hutalielewa uzito au wepec wake,kwa tuliokutwa na matatizo kulielewa vizuri neno hilo ni rahisi mno!ila usipende sana!!!

Tueleze basi tupate kushare experience
 
Unaweza vipi kupima kiwango cha upendo?! Unapimia nini?! By which standards?! Is there any SI UNIT?!
 
Tueleze basi tupate kushare experience

ina maana ukiwa katika mahusiano usionyeshe kupenda kupita kiasi au usimpende mtu mpaka akajua kuwa wewe kwake umekufa umeoza!akijua hivyo inakuwa kama ndio kiboko chake kwake,kwahiyo anaweza akakutendea vyovyote vile anavyojisikia lakini kwakuwa umeshamwonyesha kumpenda sana atajua huwezi kutake reaction yoyote kwakuwa umezimika kwake!na waumizaji wengi siraha kubwa kwao ni hiyo so kwa sasa mahusiano yalio mengi ni 50 zake 50 zako,ukiona umeogelea sana unatoka unapumunzika kivulini,
 
Dah hatari sana. Kweli ukiogelea sana bila kupumzika unaweza kujikuta ushakunywa maji kama sio kuzama kabisa
 
Back
Top Bottom