Hello.
Mtoto wa kike badilika.
Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama.
Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio sawa kabisa,maana kama mwanaume unaona kuna future naye lazima uwe mtulivu wa nafsi juu yake.
Maisha ya sasa yamebadilika sana wanaume wengi wamekuwa wakiweka kipaumbele kikubwa katika maisha katika kujijenga kiuchumi,maana ndio kigezo cha kwanza cha kudumisha ndoa na mahusiano ambapo hapa naongelea hela.
Hivyo usitumie kigezo cha kushika ujauzito kama ni tiketi ya ndoa.