The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,327
- 3,203
Uji gani mkuu, si alisema elimu bureAfadhali yako huna familia
Mm dogo amerudushwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji...
Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe harakaUji gani mkuu,jiwe si alisema elimu bure.jokes kidogo
😂😂😂tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
Nitumie namba dm nikurushie 2000 kesho upate za kuanzia siku...Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako?? au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? ...
Da Mie Nina shida lakini hii acha. Pole MUNGU akupiganie.Afadhali yako huna familia
Mm dogo amerudushwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji...
That which doesn't kill us makes us stronger. Mkuu huwa ni motivational morale ya kufight, mkuu ipo siku utaangalia nyuma alafu utasema imebaki stori. Litapita mkuu trust me.!Afadhali yako huna familia
Mm dogo amerudushwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji
Na mvua ndio zinanyesha hatar,dogo viatu vimechanika maji yanaingia mpaka ndan
,
Nkaenda kukopa vibuti vya kavaa dogo awe anavaa aende navyo shule,yule mama ananidai utazan amenikopesha moyo daily hodi haziishi
Utakuwaje na pesa nyingi wakati bado hulali na helaBuku kubwa hivyo inafikia mahali hata 50 huna
Siku nne hujala chochote mkuu..i mean yaani hata punje moja ya karanga?..haya maisha haya, kuna wakati mate yalinidondoka kwa kutamani chakula alichokuwa anakula mtoto wa jirani yangu, baada ya kushinda njaa takribani siku nne,yaani sikuwa na hata mia mbovu.
namwomba Mungu nisirudi nilipotoka.