[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] hamna tatizo.hahaha... daaaah alafu ukute wewe ndio my future wife ujue [emoji23][emoji23][emoji23] hizi fake id za jf unaweza jikuta unachangia kwenye uzi wa bebe bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wao mkuu. Kila jambo na wakati wake na majira yake.Yan umepata ujauzito badala ya kushukuru unaanza kukasilika Duuuuu
Kuna wenzako kila uchwao wana tafuta mtt try kushukuru kwa kila jambo aitheee
Kwahiyo umeamuaje kuhusu huyo jamaa yako, ndo tayari total ban au ataendelea kukugegeda? Naomba majibu nitumie PMHi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??
Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
Usitake kunifananisha Mimi na wao!! Haujui kila jambo na wakati wake?Wenzio wanaotamani kapata mtoto mpaka wamefika kwa waganga imegonga mwamba sijui wanakuonaje asee
Umefurahi ulivyokosa mimba, Je wakati ukifika ukakosa kweli inakuwaje maana siyo kwa kufurahi hukoUsitake kunifananisha Mimi na wao!! Haujui kila jambo na wakati wake?
Kwani nimetoa mimba?? [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Unapanick vibaya.
Hahahahhahaha unajua Demiss una shida wewe si bure. Eti lina sura mbaya. Sipati picha ulivyolala naye lazima ulijifunika sura na mto.Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Nilikuwa mpaka nilewe pombee jaman likinipapasa nasikia hasira kwahiyo anajua nikienda kwake pombe za kutosha bila hivyoo khaaa hata aninyonye chini siloii maana silipendiHahahahhahaha unajua Demiss una shida wewe si bure. Eti lina sura mbaya. Sipati picha ulivyolala naye lazima ulijifunika sura na mto.