Mkuu kwani umesoma kozi gani?...maana kwanza angalia ulichokisomea hapo unaweza fanya vitu vingi sana, mfano kama umesomea masoko unaweza kuja na strategy nzuri ya kuboresha masoko au wewe mwenyewe ukaingia field kujishughulisha na masoko, kama umetoka bush mazao ndo mengi unaweza tafuta watu wasiofika vijijini na wa mjini kufanya shughuli za masoko, kama umesoma sheria elimisha watu juu ya haki zao either kibiashara, saidia watu katika mashauri waliyo nayo, kama umesoma I.T fikiria jinsi gani I.T inaweza boresha biashara za watu lakini sio swala la kutengeneza inventory maana kuna inventory nyingi ambazo ni overpriced na haziko realistic, luna vitu vingi sana vya kufanya mind you lazima ukubali kuanza chini, kupata hela kidogo na saa zingine kukosa kabisa akili yako ikiwa hivyo mbona utafanikiwa tu kuajiriwa hakuna dili ila kama unaona kuajiriwa kutakutoa basi tafuta namna ambayo itakavyo weza kufanikisha ndoto yako
Sasa mtaalamu mimi mwenyewe nina LL.B lakini sijaenda law school, si unaweza kupata memas? au unaweza kusikiliza kesi za wanavijiji kama upo mikoani ukawashauri nini afanye mbona maisha yanaenda tu,au kwa Dar unaweza hata volunteer online jukwaa la sheria ukatoa msaada,pia unaweza omba hata kazi zisizohusiana na sheria mimi nilipomaliza chuo mwaka juzi niliombaga kwa wakimbizi huko nimepata experience nimeamsha nataka nipige mishe zangu private sio kwamba nina mpunga mwingi ila hivyo hivyo tuna hussleNina diploma ya sheria
Sasa mtaalamu mimi mwenyewe nina LL.B lakini sijaenda law school, si unaweza kupata memas? au unaweza kusikiliza kesi za wanavijiji kama upo mikoani ukawashauri nini afanye mbona maisha yanaenda tu,au kwa Dar unaweza hata volunteer online jukwaa la sheria ukatoa msaada,pia unaweza omba hata kazi zisizohusiana na sheria mimi nilipomaliza chuo mwaka juzi niliombaga kwa wakimbizi huko nimepata experience nimeamsha nataka nipige mishe zangu private sio kwamba nina mpunga mwingi ila hivyo hivyo tuna hussle
mm nimemaliza mwaka juzi, ajira cjapata mpka sasa. nimetukanwa na ndugu mpka nimeyazoea matuc yao. Nimeitwa mjinga, mpumbavu nisiyeweza kutafuta kazi nikapata, ----, kichwa maji, bogas, nakaa tu kusubri kupokea vya wanaojua kutafuta. Nikaamua kufuga kuku nikaambiwa umesoma uje kufuga kuku si ungeanza kufuga cku nyingi mpka maji yanafka shingoni ndo unafuga? Dah! wapendwa usiombe ukose ajira
kaka umensikitisha, nliwahi kupitia hali zaidi ya uliyonayo nlimaliza 2012 nkapata kazi october 2014, PIGA GOTI MWOMBE MUNGU WAKO NA ATAKUSAIDIA bz anasema ni wa majira na nyakati, usichoke tu kumwomba
Sasa mtaalamu mimi mwenyewe nina LL.B lakini sijaenda law school, si unaweza kupata memas? au unaweza kusikiliza kesi za wanavijiji kama upo mikoani ukawashauri nini afanye mbona maisha yanaenda tu,au kwa Dar unaweza hata volunteer online jukwaa la sheria ukatoa msaada,pia unaweza omba hata kazi zisizohusiana na sheria mimi nilipomaliza chuo mwaka juzi niliombaga kwa wakimbizi huko nimepata experience nimeamsha nataka nipige mishe zangu private sio kwamba nina mpunga mwingi ila hivyo hivyo tuna hussle
Mungu wangu sikiliza kilio cha wote wanaokulilia usiku na mchana Baba,tatizo la ajira limekuwa mwiba kwa vijana.
Wandugu maisha ya kubangaiza sio mazuri hata kidogo mtu unaishi maisha ya kubahatisha Tu, jamani tunaiomba serikali na makampuni binafsi mtupatatie ajira, maisha ya mtaani sio Mazuri jamani.
Elimu tunayo!