Usiombe ukamatwe usiku na mlinzi ambaye ni Bubu, halafu ni Kiziwi. Nakwambia utaitaja mpaka Glasi kwa kizungu!

Omba sana siku isitokee ukamatwe na mlinzi ambaye ni kiziwi au bubu mida flani ya usiku usiku kwenye lindo lake, hata kama pale umepita kwa bahati mbaya na ulikuwa huna nia ya kufanya lolote baya pale!

Nakuhakikishia hakuachi mpaka uwe umelainika.
Kidoooogo apite mtu ambaye wanaelewana na huyo mlinzi, hapo kidogo utasaidiwa.

Hapa mimi nimeandika tu, na wewe unasoma tu, ila siku likikupata, siku hiyo ni sawa na siku JPM atakapo kuwa anahojiwa pale kwenye BBC HardTalk.

...Alamsiki
we jamaaa muoga kweli,,, umezunguuuuuka kumbe ujumbe wako uko mwishoniiii,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom