ElPuto Jefe JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 5,286 Reaction score 19,463 May 5, 2017 #21 Mwambie Baba James akufundishe kuandika vizuri..!!
T tekategula Senior Member Joined Mar 27, 2017 Posts 171 Reaction score 97 May 5, 2017 #22 Badala utoke hapo mlangoni ukimbie wewe bado unawaza mama James sasa ngoja wafungue huo mlago wakukute na boxer yako Kama haijawa vipandevipande
Badala utoke hapo mlangoni ukimbie wewe bado unawaza mama James sasa ngoja wafungue huo mlago wakukute na boxer yako Kama haijawa vipandevipande
tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,323 May 5, 2017 #23 MeinKempf said: Mhhh....mimi ukimalizia kuwa ulishiaa kudakwa na kuraruliwa marinda yote na Baba James nitaamini stori yako kuwa ni ya kweli kabisa. ila ukimaliza na kusema kuwa ulifanikiwa kutoka na uka save kuliwa ndogo, utakuwa muongo na mzandiki. Click to expand...
MeinKempf said: Mhhh....mimi ukimalizia kuwa ulishiaa kudakwa na kuraruliwa marinda yote na Baba James nitaamini stori yako kuwa ni ya kweli kabisa. ila ukimaliza na kusema kuwa ulifanikiwa kutoka na uka save kuliwa ndogo, utakuwa muongo na mzandiki. Click to expand...
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 May 5, 2017 #24 Nimechekaa.... Aisee umetisha .....chupi ulidhani no hengachif.. Hahahaaaaa!