Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Mkuu....Ukiona hadi umefikia hatua ya kusoma vitabu na kukesha social media kujifunza ni jinsi gani inakupasa au utumie njia gani kumpenda mkeo ujue unahitaji operation ya Moyo wahi india fasta[emoji3]
kim pyong yang umegonga modo,da umetokelezea!Duh sawa mkuu tumekusoma
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kim pyong yang umegonga modo,da umetokelezea!
πππ comment imenifanya nicheke maana imenifanya nirudi kuangalia avatar ya mr kim pyong yang ila kapendezaaakim pyong yang umegonga modo,da umetokelezea!