huyo alikuwa mke ama mpenzi tu? kama siyo mke achana naye atakupotezea wakati!
kwa nini ulimdanganya kuwa wewe ni mchaga? au ulitaka kumtishia kwamba akitembea na mtu ,mwingine unamraba risasi (joke)? kudanganyana huleta hali ya kutoaminiana katika mahusiano yoyote!
kwenye bold na italics- wewe hujui ya kuwa siku hizi faking orgasm ni kubwa sana hasa kwa wanawake ili akuridhishe wewe baada ya kuona kwamba huna uwezo wa kumkuna kunako kipele na kumfikisha "everist" penyewe?
Sijaelewa the motive behind ya ku fake your true identity! Kwa mdada uliyekuwa unampenda. No wonder na yeye alikuwa akifake orgasm. Pengine alishakushtukia.So mjini tunasema ngoma draw. To me faking(with the exception na forums kama hizi) identity or orgasm is a sign of insecurity. Ngoja nikuulize, hivi ulipokuwa unajibishana na huyo ex-valentine wako,ulitegemea utamshinda mwanamke kwa maneno?!!!
Wakati mwingine ukimya unaweza kuchanganywa na busara.
U
Mrigariga, hayo yote ni mapito ndugu.Sijaelewa the motive behind ya ku fake your true identity! Kwa mdada uliyekuwa unampenda. No wonder na yeye alikuwa akifake orgasm. Pengine alishakushtukia.So mjini tunasema ngoma draw. To me faking(with the exception na forums kama hizi) identity or orgasm is a sign of insecurity. Ngoja nikuulize, hivi ulipokuwa unajibishana na huyo ex-valentine wako,ulitegemea utamshinda mwanamke kwa maneno?!!!
Wakati mwingine ukimya unaweza kuchanganywa na busara.
U
Ilishasemwa, Mwenye kisu kikali..........................................................................?na uachane naye kweli kweli maana si unajua adhabu za siku hizi ni :A S-fire1: tu
nakuona ume-like hii comment, sijakuelewa bado na huyu ni mwingine naye, hayaa
na huyu naye umem_PM namba yako sio, haya
Pesa ninazokupa hazikutoshi sio mpaka unaamua kuhongwa huko nje, nway
hapa nafanya monitoring tu
Umeamua kunikana kwa sababu ya pesa sio bana, kweli wachaga noma, moyo umeniuma sana
haya bana krisimasi njema
hongera mkuu kwa kuchukua mke wa mtu kiulaini ila kitakachokupata utaenda kusimulia dunia nyingine maana hii ya mwili na nyama utakuwa umeshaiaga
Mokoyo we ndo mume wangu wa kweli. dalalitz huyu kajipendekeza mwenyewe na me siwezi kukataa pesa.... ITEGAMATWI avatar yake imenivutia sikujua kama ungeona mpenzi Mokoyo naomba nisamehe
Hivi nikweli ama nikamsemo tu kwamba hawajui mapenzi? Ila kwa uzoefu wangu na hawa watu ni sifuri japo siamini kama asilimia kubwa wako hivi.
Makubwa!!!
Aaa wapi acha uongo wa mapenzi ya kizamani, Wewe kila ninapopumzika mimi nawewe unatamani,
Niachie mwenyewe toto langu la kichaga.
Ilishasemwa, Mwenye kisu kikali..........................................................................?
toa ofa sio burebure tu, hata mimi nimetumwa pesa mjini.
Usichelewe Ms.chagga muda nadhani unaukumbuka,Tukutane palepale tafadhari zingatia muda, Nilipitiwa kuhusu yale mambo mengine lakini nadhani Tigo pesa inahusika nitakustua usikonde.
HII SI HADITHI.
Mwanzoni alisema Namfikisha. Yaani namkuna akakunika, hajawahi kupagawishwa kiasi nilichomfikisha mimi.
Na kunishangaa eti, Mimi ni Mchaga waajabu.
Namnukuu siku moja,"Hee kweli tembea uone, Kumbe kuna wachaga watundu na wajuzi kwenye mahaba kiasi hiki?"
(Kumbuka nilimuongopea kuwa mimi ni Mchaga)
Nukuu ya Pili, tukiwa faraghani,"Huku akijilambalamba midomo kwa raha niliyokuwa nikimpa, "Mangi nimekoj..a, Nimepiga bao-taaaaaaamu kweeeeli huwezi amini haijawahi kunitokea kiasi hiki, --Asante sana baby wangu".
Kipindi hicho wala sikuwa mzoefu kiviile, nilikuwa bado nabahatisha kunako medani za Kupeana raha za kimapenzi.
Basi, Si unajua hakuna marefu yasiyokuwa na ncha?
Yakatokea yaliyotokea, Ikawa hakuna jinsi bali kila mmoja wetu kuchukua njia yake,
Kashfa zikaanza,"Mh! Nilikuwa nakuvumilia tu lakini ulikuwa unanidhulumu kwa kweli, sikuwa nafaidi kitu penzi kabisa, Najuta,
Namimi nikikumbuka kauli zake za zamani,
Najitutumua ili nijibu mapigo kwa reference ya ushuhuda wake wa siku za nyuma,
"Huwezi kupata mpenzi kama mimi hata ufanyeje,
Yeye anajibu" Heheeeya, Umelogwa wewe, Kwanza tangia lini Mchaga akajua Mapenzi?
Kwanza hujawahi kunifikisha hata siku moja, Wapo Vidume waliojaaliwa yaani ulikuwa unanipaka shombo tu".
Mimi mhh!!!?
Sasa sijui niamini kipi?
Mwanamke akikuchoka,......
Wewekweli mjasilia pesa.