Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,497
JF raha sana yaani kila mtu ni #ana maisha mazuri na kila mtu N #ana mfikisha dem wake kileleni zaid ya mara mbili
Nadhani atakuwa ameelewa mkuuAjitafakari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuuHahahaha halafu kala salad! Dah
Hahahaha halafu kala salad! Dah
ha ha ha mkuu utaona gereza hilooooo....Bahari ungemchapa kingine angefika cha tatu na fahamu zingerudi akiwa Duniani au ahera 😆😆😆
Hata mi nimewaza sana muda wa kuonana na hawara ake kautoa wapi na sa ngapi
ha ha ha kwa nini inakuwa hivyo mkuu?Chura matata kazimia na mimba yake?! Nasubiri next episode ya simulizi zako
ha ha ha haijawahi kukutokea mkuu?Equation x Sikuhizi umeanza kutupiga marungu Kwa kweli.
Mkuu,kuna ule usemi 'mkutwa na ngozi ndio aliyekula nyama'Unamuachaje arudi nyumbani ktk hali ya hatari iliyomkumba muda mfupi nyuma.... ingekuwa bora alale au umsindikize hadi uhakikisha kafunguliwa mlango ndo ingekuwa umefanya kazi yako kamili
Hamna tu naona kama series hv kila episode na kisanga chakeha ha ha kwa nini inakuwa hivyo mkuu?
Na kila mtu ana gari na nyumba [emoji23][emoji23]JF raha sana yaani kila mtu ni #ana maisha mazuri na kila mtu N #ana mfikisha dem wake kileleni zaid ya mara mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]JF raha sana yaani kila mtu ni #ana maisha mazuri na kila mtu N #ana mfikisha dem wake kileleni zaid ya mara mbili
ha ha ha maisha yana mambo mengi mkuuHamna tu naona kama series hv kila episode na kisanga chake
Nimecheka sana mkuuSawa Dully Sykes
ha ha ha haijawahi kukutokea mkuu?