MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Mkuu wengine ngono ni kama chakulaMaisha magumu kwa kukosa demu tu?. Naweza nikaenda dar hata wiki 2 nisiwe na mpango na demu kabisa mpaka nageuka. Usifikirie sana kwamba bila demu huwezi kuwa wewe. Fikiria tu kadiri unavyoweza kuwaepuka mademu ndipo unakuwa umekwepa mambo mengi na salama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha mawazo ya kizee we mzeeHAHAHA MKUU TATIZO LIKO WAPI JE KAMA NI KWELI ALITEMBEA NAO WOTE? AU ALIKUWA ANAKUEPUSHA NA MAJANGA YA BABATI KIMTINDO??!
Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tuMaisha magumu kwa kukosa demu tu?. Naweza nikaenda dar hata wiki 2 nisiwe na mpango na demu kabisa mpaka nageuka. Usifikirie sana kwamba bila demu huwezi kuwa wewe. Fikiria tu kadiri unavyoweza kuwaepuka mademu ndipo unakuwa umekwepa mambo mengi na salama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi shangaa, maana kuna ndugu yangu alikuwa kicheche sana kiasi kwamba anaweza kulala na madem wa3 wakati tofauti kwa siku, na mwezi mzima anaweza asirudie mademu hao...na hapitishi siku bila ya kungonoka.Habari wakuu,
Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.
Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.
Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.
Hivi mnawezaje ndugu yangu kukaa muda mrefu sana? Ila samahani aisee!Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu, kila nikimuuliza huyo binti nikimchukua unaonaje? Utasikia huyo nimetembea naye.
Yaani kila ninayemuulizia utasikia jibu hilo hilo mpaka nikaamua kurudi gesti, nikamdanganya naenda kuoga, kumbe alikuwa kaniboa, nikaenda kuoga, nikahamia baa nyingine nikachukua demu.
Mimi kwa kawaida nikimchukua demu basi ni siku zote mpaka niondoke. Kama ningemsikiliza yule mwenyeji wangu maisha ya Babati ningeyaona magumu sana.
DuuhHivi mnawezaje ndugu yangu kukaa muda mrefu sana? Ila samahani aisee!
Mimi toka O' level hadi chuoni nilikuwa nikikaa wiki 2 bila kufanya, nashindwa hata kusoma!
Kwasasa, nikikaa sana ni miezi 2. Hapo sasa hadi najipongeza kwa ushujaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema,nimekaa miezi tisa bila kungonoka,Kuna wakati najikuta kwenye uhitaji mkubwa lakini akili inaniambia hata nisipofanya sitakufa,napotezea,nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na mwanamke wangu,niliyewahi kumpenda sana,ilikuwa SAFINA HOTEL pale makumbusho,baada ya hapo sijawahi Tena na maisha yanasonga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni akili yako tu,na namna unapeleka mawazo yako...Hivi mnawezaje ndugu yangu kukaa muda mrefu sana? Ila samahani aisee!
Mimi toka O' level hadi chuoni nilikuwa nikikaa wiki 2 bila kufanya, nashindwa hata kusoma!
Kwasasa, nikikaa sana ni miezi 2. Hapo sasa hadi najipongeza kwa ushujaa.
Sent using Jamii Forums mobile app