Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,482
- 8,655
Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
LipaHawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Pole kamandaHawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Duuu yani hapa nalipa nakukopa tenaHawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Kwahiyo ni afadhali ulale njaa kuliko kukopa kwa hao jamaa?Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Hahaha talaaaKwahiyo ni afadhali ulale njaa kuliko kukopa kwa hao jamaa?
Huwa anatoa puvu Sana au!?Hahahahaha...usiombe upigiwe na mkenya sasa woiii,.



any way walichoka adi leo nko na amaniUsiogope kukopa mkuu wana kopesha adi kiasi gani!Duuu yani hapa nalipa nakukopa tena