Aisee mshana jr hebu ipeleke hii jokes forum. Title imenichekesha sana! Kwanza neno 'lamba' lilinifanya nifikirie ulimi lakini picha haioneshi ulimi ila libichwa lenye shepu kama kiazi kilichoota kwenye mawe mengi.Ndipo nikahisisha 'lamba' na hilo bichwa nikacheka sana.
Akikulamba kichwa huponi.
kwasabu gani?