Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 4,232
- 11,791
Nyie tukimbieni tu ila sisi ndyo tupoLabda tabia tofauti na binadamu wa kawaida Au mimi sifahamu?🤣
Tuwakimbie haraka sana.
Nyie tukimbieni tu ila sisi ndyo tupoLabda tabia tofauti na binadamu wa kawaida Au mimi sifahamu?🤣
Tuwakimbie haraka sana.
Umekaelewa nini? Ama ni baada ya kuona kaliandika kapo Arusha? Ukaona hutosumbuka kutuma nauli? PoleeeeðŸ¤ðŸ˜‚Ohooo utakua umenisaidia nilianza kukaelewa aka ka depal nikavute ndan. Ndo bas tena
Hahaa ingieni sahivi, baadae msisumbue wakwe. Wandewa tumeshindikana, duniani hatupo, ahera tunatafutwaTuingie sahivi au tutaingia na wakwe badae 🤣🤣🤣
Kwaheri bebe maisha mema.Umekaelewa nini? Ama ni baada ya kuona kaliandika kapo Arusha? Ukaona hutosumbuka kutuma nauli? PoleeeeðŸ¤ðŸ˜‚
Mkuu huyu jamaa kapigwa mizinga ya kutosha hadi akili ikakaa sawa 😂Soon nitamuintrodjuzi daktari wa afya ya akili humu maana hali n tete
samalekoKwaheri bebe maisha mema.
Acha endelee kukupigia 🤳Hajui kwamba sisi ndyo wale wale wa kitaa 🤣🤣
Wapo mtaani ila mtaani kuna kundi la kuoa na ambalo siyo la kuoa unaona live. Lile kundi ambalo siyo la kuoa ndiyo wapo humuPole sana kwa yaliyokukuta.
Lakini JF ladies si ndio hawa wa mtaani unaosema watu waoe au JF ladies wanatoka sayari yao?
Wale wa kitaa ambao siyo kundi la kuoa, msitake ni tumie lugha ngumuHajui kwamba sisi ndyo wale wale wa kitaa
Tumia lugha ngumu, mods wakulambe uso 😛Wale wa kitaa ambao siyo kundi la kuoa, msitake ni tumie lugha ngumu
Niingizwa mkenge na siyo mara moja , ni mara nyingi zaidi na lengo ni ili kukamilisha research yanguPole mkuu kumbe ulishawahi kuingizwa mkenge
Ppole sana mkuu.. Kugongewa ni siri ya ndan.Moderator Huu uzi usifutwe huu ni ukweli, chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani
Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023.
Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya nilioufanya kutoka kwa hawa dada zetu wa Jf, nipo hapa kupigwa mawe pasi na kujali lolote ila ukweli ufike.
Wengi wao ni wake za watu, mademu za watu na wengine ni single maza, kulia shida kwao ni jambo la kawaida sana , atakuomba buku ila jua hujaombwa mwenyewe.
Na ukiwasikiliza maneno yao na sauti zao nikama malaika apigaye tarumbeta la amani, sauti zao ni za mapenzi ya hali ya juu, wanajali sana na wepesi kumpandisha mwanaume hisia za haraka kama kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, ukiwa nao faragha hawana mvuto isipo kua sauti zao ni nzuri za kubembeleza kama mbayu wayu wa mwituni mithili ya kukupelekea wewe mwanaume kujiona upo peponi
wana mitego ya kimahaba na ukijichanganya unaweza hadi kuuza mechi hadharani na ukakata kusikiliza mawaiza na kuamua kuoa upesi pasi na kufikiria mara mbili
Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.
Wanawake wa humu ndani Jf wameweka hela mbele kama posho ya huduma atakayo kupa na wengi wao wanajiona ni wagumu sana ila kwa upande mwingine ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa kama wewe ni mjanja mjanja na una vihela vya chenchi za karanga, hawa hawafai kuolewa ,kijana usije ukaingia mkenge utakuja kulia sana.
Wanawake wa Jf siyo wife material kabisa , wanamaomivu moyoni na asilimia kubwa ni mafeminist, single maza, wake za watu waliojawa na tamaa mbaya, mademu za watu viruka njia, wanawake wa dangaji na wengi wao hawana mvuto, hawajielewi, na wengine ni wauzaji wa moja kwa moja jumla na rejareja
Kijana unaye tafuta mke au mwanamke wa kuzaa nae, hawa wanawake wa Jf wakiimbie ma uwaogope kabisa huu ni mzigo mzito na wa moto sana. Kijana tafuta mwanamke wa kuoa /kuzaa nae /kuishi nae huko mtaani.
Kutafuta mke Jf hakuna tofauti na kwenda kutafuta mke Tinder.
Huu uzi usifutwe, huu ni ukweli mchungu sana, saidieni vijana kwa kusema ukweli ili taasisi ya ndoa iimarike
Nimetumia sentensi wepesi na rahisi kuchakatwa ili kuficha ule msamiati mwingineChief huu mchakato we kuweza tunapenda sisi au ww tupe evidence mimi akienda kuchakatwa ntafanyaje ata ambao hawapo Jf wanavhakatwa sana tu
KwendraaaWale wa kitaa ambao siyo kundi la kuoa, msitake ni tumie lugha ngumu
Acha povu wewe ,tulia dawa iingie vizuri.Kwamba wa Tinder na Jf hawana manyonyo? Ndo waka disqualify kuwa wanawake?
Tinder/ JF members wote unawajua? What if kuna dada yako?
Nae akiwa mtaani wife materio, akija mtandaoni anakosa vigezo?