interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Kuna kabint hv tulibadilishana phone number baada ya dk 5 nikachek sms kame nitumi pesa
Sasa vbinti vya namna hii navyo tukiviona tukimbie?
Duh!? sa anakua kapata wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kama ukoma maana kanaweza kakawa kana mapungufu mengi kitabia so kanaamua kujificha kupitia kichaka cha kukuwezesha kifedha ili ukitaka kukashepu kitabia kajitetee kuwa "lkn pa1 na yote niliyokukosea si bado nakupenda sana, huoni jnc gani ninavyokuthamini hadi nakutumia pesa zangu ujikimu ktk mahitaji yako?"
Hongera kwa kukumbuka picha...uzi umekamilika huu
Kuna kabint hv tulibadilishana phone number baada ya dk 5 nikachek sms kame nitumia pesa
Sasa vbinti vya namna hii navyo tukiviona tukimbie?
.Ukiona msichana yuko jamii forums na anaanzisha na kuchangia thread mbalimbali jukwaa la MMU usioe.
kaoe dada yako.
Umenifunza ki2 hapo nitajitahdi kua nadumbukza dudu alafu natoa ila kuvioa labda vjioe
Aiseeh! No Pedicure?Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE
Mnafundishana ujinga[emoji23][emoji23] kazi kwako Mzee Baba...[emoji119][emoji1787]
Aiseeh! No Pedicure?
Ndio nini?Nyumbani hamna dodoki[emoji848][emoji848]
Ongezea na mnyakyusaUkiona msichana ni Mnyiramba au Mu Iraq usioe...
Ndio nini?