EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Lizzy uko wapi tunaomba utueleze.Nyie nanyi mmachosha kweli kweli. Nani asiyependa pesa kwenye hii dunia???
In all honesty wote tunapenda pesa, wanaume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo. Tofauti inakuja pale tu...mpendaji anapokuwa sio mtafutaji ama yuko tayari kuutoa utu wake for a coin. FULL STOP!!!
Nyie mnapenda pesa ambazo hamzitolea jashoNyie nanyi mmachosha kweli kweli. Nani asiyependa pesa kwenye hii dunia???
In all honesty wote tunapenda pesa, wanaume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo. Tofauti inakuja pale tu...mpendaji anapokuwa sio mtafutaji ama yuko tayari kuutoa utu wake for a coin. FULL STOP!!!
Labda nikuulize...Nyie mnapenda pesa ambazo hamzitolea jasho
Kwani we zako unazitafutaje??? Vyanzo vyako vya pesa ni vipi???Lizzy uko wapi tunaomba utueleze.
vyanzo vyako vya pesa ya kila siku
Pesa za kuhongwaNyie nanyi mmachosha kweli kweli. Nani asiyependa pesa kwenye hii dunia???
In all honesty wote tunapenda pesa, wanaume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo. Tofauti inakuja pale tu...mpendaji anapokuwa sio mtafutaji ama yuko tayari kuutoa utu wake for a coin. FULL STOP!!!
Nitumie Namba Yako Ya Tgo pesa nikuwezeshe HapoLabda nikuulize...
Wewe kama wewe nshakula hela zako ngapi ili kuonyesha unachokiandika ni cha uhakika na sio mihemko....??
Nyumbani ushawawezesha???🤔🤔Nitumie Namba Yako Ya Tgo pesa nikuwezeshe Hapo
Vipi zikiisha labda?
Na hao wanaofirisika unasemaje kuhusu wao?
Mimi nafanya kazi, siombi pesa ya mtu, wala sio ombaomba kama wanawake wa kitanzania. Sijui huwa wanawaza nini kuwa ombaomba utazani umezaliwa kuwa wasindikizaji. Akili zinawaza hips na nywele tu.Kwani we zako unazitafutaje??? Vyanzo vyako vya pesa ni vipi???
Nami hivyo hivyo....Mimi nafanya kazi, siombi pesa ya mtu, wala sio ombaomba kama wanawake wa kitanzania. Sijui huwa wanawaza nini kuwa ombaomba utazani umezaliwa kuwa wasindikizaji. Akili zinawaza hips na nywele tu.
Mwanamke mzuri ni yule mjanja wa kubuni miradi midogo midogo ili aishi. Hii tabia ya kuomba omba hela siipendi kama nn yan!Mimi nafanya kazi, siombi pesa ya mtu, wala sio ombaomba kama wanawake wa kitanzania. Sijui huwa wanawaza nini kuwa ombaomba utazani umezaliwa kuwa wasindikizaji. Akili zinawaza hips na nywele tu.