ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
wanabadirika sana. Mmoja alikuwa mwislamu akaolewa na mkristo, akaamua kuokoka na sasa ni PastorWana uwezo mkubwa sana wa kujifanya wameacha tabia zao za kuuza nanihii, lakini ukweli ni kwamba hawa watu wameshaathirika kisaikolojia hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja, hata umpe nini akipata upenyo tu lazima acheat, Kama umeoa bar maid na huamini nisemayo weka mitego utamnasa tu,ni afadhali uoe changudoa kuliko bar maid.
Changudoa na barmaid ni hao hao tu. Mmoja ni kibua, mwingine tasi. Wote ni samaki wa maji chumvi.Wana uwezo mkubwa sana wa kujifanya wameacha tabia zao za kuuza nanihii, lakini ukweli ni kwamba hawa watu wameshaathirika kisaikolojia hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja, hata umpe nini akipata upenyo tu lazima acheat, Kama umeoa bar maid na huamini nisemayo weka mitego utamnasa tu,ni afadhali uoe changudoa kuliko bar maid.
[emoji23] [emoji23] fanya uchunguzi wa kina, kamwe hawezi kuwaacha Wateja wake 100%Mi nimeoa mkuu na kabadilika [emoji41]
Hawezi labda awe chini ya ulinzi mke/mfungwaAnaweza kubadirika.....
Mapastor sio malaika, kazi ya mshahara hiyowanabadirika sana. Mmoja alikuwa mwislamu akaolewa na mkristo, akaamua kuokoka na sasa ni Pastor
Ipo tofauti kati ya samaki maji chumvi na baridi,changudoa hana mtu wa kudumu naye yeyote aliyeko mbali yake halali yake, lakini bar maid ana wateja wa kudumu na namba za simuChangudoa na barmaid ni hao hao tu. Mmoja ni kibua, mwingine tasi. Wote ni samaki wa maji chumvi.
Wanapiga kweli, ila siwalaumu huwezi ukamchukua mke wa jumuiya na kumfanya mke wako peke yako.Umepigiwa mkuu
Huko nako Wasweden watakung 'uta tuNmebadlsha eneo LA kukaa npo Naye sweeden[emoji41] [emoji23]