ETI serikali imefilisika kiasi kwamba Tanesco imeshindwa kutoa huduma ya umeme kwa wateja wake. Ili kuchaji simu ni lazima uende na simu yako makao makuu ya Tanesco.
Sasa mi nikawa napita kila nyumba yenye mtoto mzuri wa kike nikikusanya simu zao nizipeleke Tanesco kuchajiwa.
Kimbembe ni wakati wa kuwarudishia simu zao sasa
Halo ya maisha ilivyo ngumu, Una nafasi ya kuota bado? Mwenzio nachoka kama mtwana, nikijitupa kitandani alarm inaniamsha kabla hata sijageuka mgeuko wa kwanza
Halo ya maisha ilivyo ngumu, Una nafasi ya kuota bado? Mwenzio nachoka kama mtwana, nikijitupa kitandani alarm inaniamsha kabla hata sijageuka mgeuko wa kwanza