Usinikubali haraka

Being 'traditional' bado ina maana yake hata dunia ya kidijitali ya leo...ukitaka walau some 'respect' mwanaume sharti umzungushee...not kuzungusha in such buh jiridhishe kwanza,usiingie kichwa kichwa..kakutania tu anaomba K,ushagawa...heh atlst na ye apate time to know if ur the girl worth the wait ,flowers and shit like that...japo U GOT TO BE CAREFUL USIREMBEE SANAA,coz ur V haina gold coat or something....mana the man got way too many options tena wengine wanamng'ang'ania kabisaa kumpa mzigo bureee au kumuapproach...ukizubaa oh me mzuri cjui nini shauriloo ,utamuona yuleeee.....ila kama huna interest na commitment jitose tu one night stand,friends with benefit nk..
For a relationship kwenda vizuri a man has to win you (they love that,and inaongeza VALUE YA MWANAMKE NA UHUSIANO KWA UJUMLA and which woman doesn't love a man chasing her???) japo ukinotice jamaa ni domo zege funguka tu,mana ukimu-approach he will take it seriously and he will suprise you and love u back,si ajabu aka-fall hata zaidi yako wewe.,..
Ilaa kama jamaa ni player hehheh ni mawili if ur a good girl be smart ,mana they soo good in kufukuzia mtu,ur a bad girl u shld watch out mana hapo ni lazma one player awe played...kaa chonjo isiwe wewe....
Ila pia hainaga formula moja yaweza tokea differently ...
 
Nimekupenda bureeee...yani umesema kweli kabisaaaaaaaaa.....
 
hahahahhaha jamaniii mpaka naogopa kukubali haraka, nipe miezi mi3 nifikirie
shaurilo! chelewa chelewa utakuta mwana kawa mkubwa!

afu hivi,.. au ngoja! ntakuja chocho tuongee vizuri!
 
unafanye tena huko Excel,mwenzio nko nxt door,near to u! Chumba no 203!#okbye
Aitheeee!!! nakuona ulivyo vere vere romantic kwa avatar! ok bye! -- mlango uko wazi!
 
shaurilo! chelewa chelewa utakuta mwana kawa mkubwa!

afu hivi,.. au ngoja! ntakuja chocho tuongee vizuri!
Bora nimkute huyo mwana kakoma mifupa kabisaaaa niepushe kuitwa majina mengne
 
..Ntafurahi kama utanimwaga nkija kwa njia za mkwanja,
ntarudi kujipanga kiadabu au kama ...aiiibuuu..
kwa mfano nikituma meseji naomba uchelewe kujibu,
na silazima kila sehem nnayokualika utokee,
au kila simu nnayokupigia ewew malkia uipokee,
zingine waweza zichunia ,hiyo yaweza saidia kuniwekaa roho juu na kuongeza upendo pia.......
 
Bora nimkute huyo mwana kakoma mifupa kabisaaaa niepushe kuitwa majina mengne
hebu nambie nije lini nijilie kitunda jamani! niko offline muda mrefu ujue! lols!
 
hhahahhahah duuuu!! haya
 
mi sipendi
Hata nkikualika LEVEL8, hujiii, kweeli? sio utanijia na mabestito zako mje mninywee? nakujia kwa njia ya mkwanja, wewe hujui chuna buzi? hahahaa basi utakua hauko single.
 
Hata nkikualika LEVEL8, hujiii, kweeli? sio utanijia na mabestito zako mje mninywee? nakujia kwa njia ya mkwanja, wewe hujui chuna buzi? hahahaa basi utakua hauko single.
Hayo mabuzi ya sikuhizi yanachunika basiii???...
 
Hayo mabuzi ya sikuhizi yanachunika basiii???...
Yapo..sema hujakutana nayo, siku hizi yamepungua sababu ya biashara huru..mtu anapiga hesabu anataka nini kwako, na gharama anazoingia, je akiamua aende sijui Kona bar, si atatumia hela ndogo zaidi...Kuhusu hatari za kiafya hata wewe hana uhakika kama uko salama. UJASIRIAMALI una negative na positive effect.
 
Asanteee...umenipa kadarasa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…