Kuna mmoja wa jirani yetu yeye anakaa macho wazi mpaka awe na uhakika baba na mama yake wamepitiwa na usingizi, otherwise anataka kuona kinachoendelea.

jamani mwanangu akitaka kulala nyumba nzima wanajua anataka kulala
analia jamani mpaka kero
Daah anafafana na wangu,anatoa kilio cha nguvu harafu hana chozi..
mmmmh!!
kana umri gani hako katoto?