princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
- Thread starter
-
- #41
asante kwa uahauri1. Kula chakula cha kutosha chenye protini kama nyama.
2. Fanya mazoezi ya kutosha kila siku jioni.
3. Kunywa mvinyo mwekundu angalau glass moja baada ya chakula cha jioni.
4. Usitumie kahawa, chai, au energy drink yeyote muda wa jioni au masaa manne kabla ya kulala.
5. Kunywa maji ya kutosha yasiwe ya baridi.
6. Soma kitabu chochote ukiwa umepanda kitandani unasubiri kulala.( Sio thriller stories au zinazohusu action/blockbuster)
7. Epuka kelele kama kusikiliza muziki, kuangalia movie nyakati za kulala.
8. Kama umeolewa au unajihusisha na sex(conjugation) basi shiriki tendo kabla haujalala na hakikisha unajishughulisha kweliweli( just ride your mans di*k like you are are riding a horse) Just be active and lead the show. Hii utalala fofo dakika 3 tu baada ya kufikia climax/orgasm. Kwa wanaume ni fofo dakika 1 tu kama umefuata routine niliyokupa hapo juu ukamlizia na sex conjugation.
Sitaki kuamini hufanyi kazi....tatizo sina kazi sasa..
na hizi za home kama za beki tatu hazinipi shida hata kubeba kiroba cha unga kawaida kwangu
nizitafune? zikiwa mbichi au nizikausheKula mbegu za maboga utalala murwaa ni tiba ya msongo wa mawazo pia
serious nimeombankazi humu weeehSitaki kuamini hufanyi kazi....
Unaishi vipi?
Lala kwanza kwenye kochi ukiisha anza kusinzia nenda kitandani harakaHabari za usiku..
Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka.
Naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.
Kausha au mbich n chaguo lako ,zitafune kama karanganizitafune? zikiwa mbichi au nizikaushe
Habari za usiku..
Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka.
Naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.