Usimuhonge mwanamke pesa bali msaidie pesa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Hivi vitu nimekuja kutambuwa siku hizi

Mwanamke ukimuonga pesa kwa kufikiri pesa zako ndo zitafanya mtoto wakike akupende au akuvumilie my friend umepotea.

Ila ukimsaidia mwanamke pesa bila kujali kulipwa kitu chochote kutoka kwake wala kujibembeleza kwake eti kisa umempa hela kutamfanya akukumbuke siku zote za maisha yake na inawezekana anaweza ku fail love for you

Mara nyingi wanawake upenda watu ambao hawana shobo nao kivile saana
 
Baada ya kusoma summary ya kumjua mwanamke basi ukajiona umemaliza kila kitu nakuamua kufungua uzi kabisa,

Wenzako walisomesha, wakalea watoto ambao sio wao, wakawatibu kwa gharama kubwa, wakajenga ukweni, wakalipa kodi za nyumba, wakawanunulia asset za ndani, wakawajengea na kuwanunulia magari lakini yaliowakuta ni siri yao, Wanapita kimya kimya nakufyonza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SI Bora hela yangu nile nyama ya nguruwe roast au iliyokaangwa au konyagi au k vant au Serengeti lager au mchemsho wa kuku au samaki au matunda au ninunue TU bando la internet la week.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…