Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Mwanaume kupambania muhimu Sana bt nyakati zmebadilika Sana wote mpambanie kutafuta hasa mwanaume.Biblia imeongea Kila kitu.... Jukumu la Mwanaume ni kumtunza mwanamke na familia kwa ujumla. Ukiona Mwanaume ameshindwa kutokana na hali yake ya uchumi imeyumba ujue kuna bomu mbele litalipuka... Mwanamke hawezi kukuvumilia kwa kipindi kirefu cha kupigika kwako. Itafika tu muda ataomba kuachana. Ukiona hivyo ndo ujue baraka zako zipo mlangoni.... Ukiona miaka 3 mwanamke anakuvumila mpende Sana she is woman of your life. Wengi hawawezi
Hakika jamaa amepata mkeKumbe watu wenye familia zao huko vijijin kusko na hela Zaid ya kilimo kwahiyo hawajui kusihi na wake zao eti eeeh mbona kama ndivyo wanaishi vema Sana na familia zao kuliko wenye pesa. Kwahiyo matajiri Wana ndoa imara sana na wanajua kuishi na wanawake eti hebu fafanua trna hawagongewi wake zao wala mapenzi hayawasumbui. fafanua maana huwa nabaki na kizungumkuti Sana kuhusisha ndoa au mapenzi na pesa wakati kuna watu vdume mpk wanahongwa na wanawake lakini pia kuna watu Wana ndoa Bora Sana lakini hawana hela za kusema eti Wana hela ni vjishughuri Tu vidogo vidogo mke anajshonea vinguo na cherehan tena nyumban Tu mume fundi ujenzi Tu na wakati mwngn kaz znapotea kbs lakini hakuna tatzo wanacheka wanafuraha muda wote na watoto wao hawa ni majiran zangu na jamaa mke wake ni mzuri hasa rangi ya Mtume tako lipo hips kama zote lakini sjawahi ona kamdharau mumewe au wanajbizana ni Amani Tu
Mwanamke wa mjini ukikosa fweza tu za kum keep it up jua imekula kwako aisee. Watakusumbua kingese yaniMwanaume kupambania muhimu Sana bt nyakati zmebadilika Sana wote mpambanie kutafuta hasa mwanaume.
Hao unaosema wachache Sana wanaweza vumilia mwanaume akpgika aisee tatzo unaangalia wanawake WA mjini wanaoolewa Kwa kuangalia uchumi, umeangalia madanga maana wapo Masada walioolewa bt si really wife material ni danga Tu tembea uone mikoani huku watu wanavyoishi na family zao Kwa taabu lakini wapo pamoja miaka na miaka mpk wanazkana. Mstafsiri ndoa kuwa ni pesa kisa mnaangalia ndoa na wanawake WA dar wasiojielewa ndoa ni pana Sana aisee zpo ndoa mania Kwa maelfu watu wanaishi vema Tu na hawana hzo hela zaidi ya kilimo Tu tena wengne asbh ni uji jioni ugari imetoka hiyo na Wana Amani Ila Kwa wanawake WA dar italeta shida Ila si tunaotembea tunaona mengi sn aisee.
Hakika jamaa amepata mke
Hakika mkuu, true love ipoSi huyo Tu mi nimeona wengi Tu wanaishi vzuri sn achen kuangalia madanga ya dar kisha ndo iwe kama sample ya wake wanataka nn ili uishi nao vema. Hata hapa nilipo ni mjini tena ni moja ya mkoa mkubwa tz na ni jiji upo top three.
Kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa amuheshimu mwenzake?yaan hawa viumbe ukilegeza kidogo tu watakupanda kichwan na mzigo utatolewa tu nje fresh cz atakuona boya kama unamuheshimu sanaa...unachotakiwa mwanaume kufanya ni kutotabirika yaan namaanisha usieeleweke wala kuzoeleka kwa mwanamkeMwanamke mpende na kumuheshimu tu ndio cha muhimu hasaa.....ukiwa na hela extra ni vizuri....ukijua kuishi na mwanamke ni raha sana...kuna vitu vya kijinga atakuambia usifanye jifanye mjinga kubali tu maisha yanaendelea hawa viumbe sio wa kugombana nao au kubishana nao.....muweke mwanamke kwenye position ambayo yeye mwenyewe akifanya chochote anajistukia....
ApiaBiblia imeongea Kila kitu.... Jukumu la Mwanaume ni kumtunza mwanamke na familia kwa ujumla. Ukiona Mwanaume ameshindwa kutokana na hali yake ya uchumi imeyumba ujue kuna bomu mbele litalipuka... Mwanamke hawezi kukuvumilia kwa kipindi kirefu cha kupigika kwako. Itafika tu muda ataomba kuachana. Ukiona hivyo ndo ujue baraka zako zipo mlangoni.... Ukiona miaka 3 mwanamke anakuvumila mpende Sana she is woman of your life. Wengi hawawezi
Mkuu kusema kwa ulilosema upo sawa kabisaa na unaonekana una experience nao unajuwa mwanamke huwezi kumsoma hata siku either una hela au hauna hela hawatabiliki hawa viukbe muda woye wanabadilika kama vinyonga ila kwa jinsi ninavyoona wanawake tabia zao ni tofauti sio wote wanatabia sawa na kila mwanamke ana jinsi ya kupendwa kuna wengine wanapendwa kupigwa na kugombezwa kuna wengine wanapenda wanaume wapole kuna wengine wanapenda wanaume wavuta bangi so me nadhani inabidi kumsoma mwenza wako na kujua nini anapenda....Kumuheshimu unamuheshimu ila sio kufikia limit anakuambia vitu vya kijinga na wewe unakubali tu hapo lazima akupande kichwani hata iweje....Kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa amuheshimu mwenzake?yaan hawa viumbe ukilegeza kidogo tu watakupanda kichwan na mzigo utatolewa tu nje fresh cz atakuona boya kama unamuheshimu sanaa...unachotakiwa mwanaume kufanya ni kutotabirika yaan namaanisha usieeleweke wala kuzoeleka kwa mwanamke
Mkuu hiyo ni stage nyingine kabisaaaa inabidi tufungue topic kwa hii mada😀😀Nisimuache mwanamke, why?
Akiwa mzinzi je?
Akiwa mchawi je?
Wanatamaa sana ndio tatizo lao hasaaMwanamke wa mjini ukikosa fweza tu za kum keep it up jua imekula kwako aisee. Watakusumbua kingese yani
Huwa iko iv,mwanamke atafanya atemptMkuu kusema kwa ulilosema upo sawa kabisaa na unaonekana una experience nao unajuwa mwanamke huwezi kumsoma hata siku either una hela au hauna hela hawatabiliki hawa viukbe muda woye wanabadilika kama vinyonga ila kwa jinsi ninavyoona wanawake tabia zao ni tofauti sio wote wanatabia sawa na kila mwanamke ana jinsi ya kupendwa kuna wengine wanapendwa kupigwa na kugombezwa kuna wengine wanapenda wanaume wapole kuna wengine wanapenda wanaume wavuta bangi so me nadhani inabidi kumsoma mwenza wako na kujua nini anapenda....Kumuheshimu unamuheshimu ila sio kufikia limit anakuambia vitu vya kijinga na wewe unakubali tu hapo lazima akupande kichwani hata iweje....
Kabxa mkuu,huwa iko iv,mwanamke anaweza kukufanyia attempt kama tatu iv ili kukucontrol,ila kila akifanya attempt akakuta umeweka ngumu na kujaribu zaid ya mara tatu zote zikafel,atajirud na kukuheshimuu maana hauzoelekii,ila ukiwa weak kwny hayo majaribio jiandae kuendeshwa kama gar bovuMkuu kusema kwa ulilosema upo sawa kabisaa na unaonekana una experience nao unajuwa mwanamke huwezi kumsoma hata siku either una hela au hauna hela hawatabiliki hawa viukbe muda woye wanabadilika kama vinyonga ila kwa jinsi ninavyoona wanawake tabia zao ni tofauti sio wote wanatabia sawa na kila mwanamke ana jinsi ya kupendwa kuna wengine wanapendwa kupigwa na kugombezwa kuna wengine wanapenda wanaume wapole kuna wengine wanapenda wanaume wavuta bangi so me nadhani inabidi kumsoma mwenza wako na kujua nini anapenda....Kumuheshimu unamuheshimu ila sio kufikia limit anakuambia vitu vya kijinga na wewe unakubali tu hapo lazima akupande kichwani hata iweje....