Usimuache mtoto akafuturu mwenyewe.

jamani baby hadi jicho limelegea jamani
 
Hahahahahahaa mm in muislam sioni kama kuna mushkeli katika hili sasa wewe unaozungumz habar ya wafia dinj na wewe uloitikia kishambenga I don't know sijui ndio mtoa post haipendez kila mda kubishana sometimes tunapaswa kucheka na kufurah pamoja
 
Hiyo picha ina uhusiano upi na dini?,...tuache ujuha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…