Usimsogelee anaweza akameza mtu

Nilijua miyayo ss tu mpaka awa wapenda kijani shenzi taipu
 
Ila anaonekana ni muungwana maana kukubali kufanya hayo yote akiwa na kofia ya CCM ili mradi ipatikane picha ya kuweka JF atakuwa ni mtiifu sana kwa hao waliomshawishi apige picha
 
Miayo ya namna hiyo khatari sana pana jamaa alipiga huo akachanika mdomo vigingi ilikuwa masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…